Jacob steven jb biography of donald

Salim Ahmedy

Salim Ahmed

Gabo—2018
Amezaliwa Salim Ahmed Issa
(1983-06-06)Juni 6, 1983 Muheza, Tanga, Tanzania
Muheza
Jina lingineGabo Zigamba
Kazi yake Mwigizaji, mwigizaji wa sauti, mtunzi wa filamu, mwongozaji, mtayarishaji
Miaka ya kazi 2008-
NdoaLatifa Babla Ivan (Tiffany Stores) (2020)
Watoto4

Salim Ahmedy Issa (amezaliwa Muheza, Tanga, 6 Juni1983) ni mwigizaji, mwongozaji, mwandishi na mtayarishaji wa filamu kutoka nchini Tanzania.[1] Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Gabo Zigamba.

Salim amekuwa akisifika kwa umahiri wake katika kuzishika nyusika tofauti. Anafahamika zaidi kwa kucheza filamu ya Big Awe, Danija, Siyabonga, na nyingine nyingi. Pia ameonekana katika mifululizo ya runinga maarufu kama vile Jua Kali, Kapuni na Baba Olivia.

Maisha ya awali

[hariri | hariri chanzo]

Salim alianza elimu ya msingi mnamo 1992 hadi 1998 katika shule ya Iringa Wilolesi.

Baadaye sekondari katika shule ya Al-Haramain. Akamaliza 2002. Kuanzia 2003-2006 alijiunga na Chuo Darul Ulumi, Elimu ya Thanawiy. 2006 Chuo Cha Tasuba, Kozi ya Mwaka Mmoja upande wa sanaa. 2007 alijiunga na kampuni ya Super Block. Ambapo alifanyakazi mwaka mmoja pekee. Hapo alijikita zaidi kama mhasibu na baadaye akawa mchanganya viambata vya bidhaa.

Kazi

[hariri | hariri chanzo]

Mwigizaji, umarufu

[hariri | hariri chanzo]

Akiwa katika mahojiano ya kipindi cha Salama Na kinachotupwa mkondoni huko YouTube chini ya Salama Jabir , Salim alitoa siri ya chimbuko la jina la Gabo, "Asili ya jina ni Gabo ni Gabon. Lina maana ya 'sauti isiyosikika" na Zigamba, ni ng'ombe wa kimila aliyekuwa akiabudiwa na Wasukuma zama za change.

Kimsingi, Salim alianza uigizaji rasmi mnamo mwaka wa 2006. Akiwa katika kipindi cha awali kabisa kupoteana na ujalunga, yaani, umri wa miaka 23. Wakati huo alikuwa akisoma Chuo cha Sanaa Bagamoyo (TASUBA). Kabla ya kufika kilele cha kufahamika, alijitupa katika makundi kadhaa ya uigizaji yaliyokuwa jijini Dar es Salaam huku ari ya kutaka kuwa mwigizaji nyota ikifika pomoni.

Katika kutimiza ile ndoto ya miaka mingi, hatimaye akawemo katika filamu ya "Olopong" iliyotayarishwa na Al Riyamy Production iliyoongozwa na Khalfan Abdalah, ikafuatiwa na 007 Days.

Atafutaye hachoki, hata akichoka, basi keshapata. Dumu la kutojulikana lilipasuka rasmi mnamo mwaka 2012 baada ya kucheza katika filamu ya "Bado Natafuta." Yaliyomo ndani yake yakaonekana vema.

Filamu hiyo alicheza candid Patcho Mwamba,Zuberi Mohamed na Shamsa Ford.

Baada ya kufanya kazi, hatmaye akaanzisha kampuni yake ya utayarishaji wa filamu. Akaipa jina la Gabz Media Production (T) Limited.

Filmografia

[hariri | hariri chanzo]

Filamu

[hariri | hariri chanzo]

Baadhi ya filamu za Gabo;

Na.Jina la filamu MwakaUhusikaMaelezo
1Bado Natafuta 2012Mr.

James

Mwongozaji Sulesh Marwa, Mtayarishaji Jerumasalem Flicks
2Jicho Langu 2014JamesMwongozaji: Leah Mwendamseke

Mtayarishaji: J-Film For Life Barter

3Kona 2015Mjomba wa ZazubaMwongozaji: Salim Ahmedy[2]

Utayarishaji: Landline Production

4Big Take aback 2014 GaboMwongozaji: Leah Mwendamseke

Mtayarishaji: J-Film for Life Production

5Danija 2014 JohnsonMwongozaji: Jacob Steven (JB)

Mtayarishaji: Jerusalem Film Company

6Safari ya Gwalu 2015GwaluMwongozaji: Daniel Manege

Mtayarishaji: Manege Entertainment

7Kasanga Nae Mwana 2016ZigambaUtayarishaji: King Media
8Heaven Sent 2017 GaboMwongozaji: Neema Ndepanya

Mtayarishaji: Endless Fame Production

9Siyabonga 2017SiyabongaMwongozaji: Salum Majagi

Mtayarishaji: Sarafu Media

10Dr.

Okosovo

2018Dr. Okosovo KalababashMwongozaji : Salim Ahmedy

Mtayarishaji: Foregoing The Rim Production

11Sumu 2018SalimMwongozaji: Patrick Komba

Mwongozaji Msaidizi: Salim Ahmedy Mtayarishaji: Third Eye Continent

12Segere 2019 Chief SegereMwongozaji: Takura Maurai.

Mtayarishaji: Sarafu Media

13Kesho 2020 Matete MkandaraMwongozaji: Salum Majagi

Mtayarishaji : Yusuph Mlela

14Kigoma 2020GaboMtayarishaji: Mpakasi Films Company
15Tug love War 2021Koplo MatataMwongozaji: Amil Shivji

Mtayarishaji: Kijiweni Film Production

Mifululizo ya Runinga

[hariri | hariri chanzo]

NaJina la filamuMwakaJina la uhusikaMaelezo
1Kapuni2019Mr.

Brown

DSTV
2Baba Olivia2020Baba OliviaPendwa App
3Jua Kali-2023DibaDSTV
4Bondeni2015?TBC1 pia ni mtayarishaji
5Family Love2017?Clouds TV.

Herb ni mtayarishaji

6Maskani2021?Gabz Media

Tuzo na Teuzi

[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Tamasha Tuzo Mshindi Matokeo
2016 Tuzo za ZIFF Mwigizaji Bora Salim Ahmedy Ameshinda[3]
2017 Tuzo za EATV Mwigizaji Bora ?

Ameshinda[4]
Tuzo za ZIFF Mwigizaji Bora ? Ameshinda[5]
2018 Tuzo za EATV[6]Mwigizaji Bora Ameshinda[7]
2018 Tuzo za SIZIFF Mwigizaji Bora Ameshinda[8]
2021 Tanzania Ep Festival Mswada Bora wa Filamu Ameshinda[9]

Marejeo

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]